KANUNI
Katika kikao chake cha tarehe 15-16/02/2005,
1. Utaratibu
wa kupiga
kura
Katika chaguzi za ngazi zote
za CCM, upigaji kura utaendelea
kuwa wa siri,
lakini sasa litatengwa eneo wazi kwa ajili
ya kupigia kura badala mtu
kupiga kura pale pale alipokaa. Lengo la utaratibu huu ni kuondoa uwezekano wa majirani
kushawishiana wakati wa kupiga kura.
2. Uteuzi wa
Wagombea wa Ngazi ya Mtaa
na
Katika hali ya
kawaida, mgombea hatakiwi kuomba nafasi ya muda
wote
3. Ushughulikiaji wa Malalamiko ya Uchaguzi
Kabla ya marekebisho, Kanuni zilitoa utaratibu wa kushughulikia malalamiko kwa kipindi cha baada ya uchaguzi tu. Marekebisho sasa yameweka pia
utaratibu kwa
ajili ya kipindi cha kabla na baada ya
Uchaguzi. Utaratibu huu utawezesha
kufuatilia nyendo za wagombea na ikibidi kuchukua hatua zipasazo katika kipindi hicho hicho
bila kusubiri uchaguzi kumalizika. Kamati za Siasa za
ngazi husika na
4.
Miiko mingi tayari imeorodheshwa
katika Kanuni za sasa. Lakini marekebisho yamebainisha vitendo vya rushwa
kuwa ni
kosa kubwa ambalo adhabu yake
ni kufutiwa uteuzi. Makosa mengine yaliyoongezwa kwa
msisitizo katika Kanuni ya Uchaguzi
ambayo tayari yamo katika Kanuni
za Maadili ni pamoja na
matumizi ya mabango na vipeperushi
kinyume cha utaratibu uliowekwa na Chama,
kampeni chafu, vurugu za wapambe
au wapiga debe, matusi na upotoshaji
wa makusudi wa sifa za
wagombea wengine wanaoshindana nao.
5.
Kuanzia sasa, siku ya uchaguzi
itakuwa ni
ya uchaguzi tu. Aina yoyote ya kampeni
haitoruhusiwa siku hiyo.
Kwa upande
wa Kanuni
za Uteuzi wa Wagombea wa
CCM
1. Tathmini za
Wabunge, Wawakilishi na
Sasa, karibu
na
2.
3.
Kabla ya marekebisho, Kanuni zilipiga marufuku kampeni kabla ya
kipindi kilichowekwa rasmi ambacho aghalabu
ni baada
ya kuchukua fomu. Lakini zilikuwa kimya kuhusu kipindi mwanachama anachoweza kutangaza nia yake
ya kutaka kugombea. Marekebisho sasa yameondoa utata huo kwa kuruhusu mtu kutangaza
wakati
wowote apendao
nia yake ya kugombea, lakini
marufuku ya kampeni kabla ya
muda yanaendelea na yamesisitizwa.
4. Udhamini wa
Kanuni zinapiga
marufuku Wajumbe wa