KAMATI YA KURATIBU KAMPENI ZA CCM KITAIFA

 

Kwa mujibu wa ibara ndogo ya 4 ya ibara ya 10 ya Katiba ya CCM (Toleo la Mei, 2005), moja kati ya kazi za Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM ni kusimamia Kampeni za Uchaguzi za Chama.

 

Kwa kuzingatia kuwa Kamati Kuu hufanya kazi zake kwa vikao ambavyo huchukua muda kufanyika, imeamua kuunda Kamati ya Kuratibu Kampeni za CCM Kitaifa ambayo itafanya kazi za siku kwa siku kwa niaba ya Kamati Kuu kwa kipindi chote cha Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2005.

 

Katika kikao chake cha tarehe 29 Juni, 2005, Kamati Kuu iliwateua wafuatao kuwa wajumbe wa Kamati hiyo:-

 

 

1.       Ndugu Philip J. Mangula                          

2.       Brig. Gen (Mst.) Hassan Ngwilizi               

3.       Ndugu Saleh Ramadhan Ferouz                

4.       Ndugu Salome Joseph Mbatia                   

5.       Ndugu Jackson Msome                            

6.       Ndugu Omar Ramadhan Mapuri               

7.       Ndugu Kingunge NgombaleMwiru           

8.       Ndugu Abdulrahman Kinana                    

9.       Ndugu Dr. Emmanuel Nchimbi                 

10.     Ndugu Samia Suluhu Hassan                    

11.     Ndugu Anna Abdallah                             

12.     Ndugu Ali Ameir Mohamed                      

13.     Ndugu Rostam Aziz                   

14.     Ndugu Mansoor Yusuf Himid                    

15.     Ndugu Mohamed Aboud Mohamed           

16.     Ndugu Edward Lowasa                            

17.     Ndugu Peter Kisumo                                

18.     Ndugu Ferdinand Ruhinda                        

19.     Ndugu Mohamed Abdulaziz                      

20.     Ndugu Leila Nassor Khamis                      

21.     Ndugu Yusuf Mushi                  

22.     Ndugu Sam Mapande                              

 

 

-

-

-

-

-

-

-

-

-

-

-

-

-

-

-

-

-

-

-

-

-

-

 

Mwenyekiti

Mjumbe

Mjumbe

Mjumbe

Mjumbe

Mjumbe

Mjumbe

Mjumbe

Mjumbe

Mjumbe

Mjumbe

Mjumbe

Mjumbe

Mjumbe

Mjumbe

Mjumbe

Mjumbe

Mjumbe

Mjumbe

Mjumbe

Mjumbe

Mjumbe