-
Hivi sasa kwa mfano wako wanasiasa wanaopita huku
na huko wakitumia jina la Mwalimu Nyerere kwa lengo la kujinufaisha
kisiasa. Wote tunafahamu umaarufu wa
jina
la Mwalimu Nyerere, siyo katika nchi yetu tu, bali kimsingi kwa
dunia nzima. endelee>>>>
-
ZIPO semi mbalimbali za Kiswahili zinazofundisha
mambo kadha wa kadha kuhusiana na mwenendo wa maisha ya binadamu,
katika sayari hii endelea>>>>>
-
Mtu kashindwa safari ya kwanza, safari ya pili na
safari
ya tatu. Bado waendelee tu kumpa nafasi kugombea
endelea>>>
-
ALHAMISI
ya wiki iliyopita, ubalozi wa Marekani nchini Tanzania ulitoa
taarifa nzito na kali kuhusu uchaguzi wa Zanzibar, taarifa ambayo
kimsingi imeweka wazi kuwa serikali ya Marekani haiyatambui matokeo
ya uchaguzi huo endelea>>
-
SHUTUMA za ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kuhusu uchaguzi
ulivyofanyika Zanzibar zinaweza kuwachanganya watu wasioifahamu
Marekani na unafiki wa nchi nyingi za magharibi.Kwa anayeijua
atakwenda mbali zaidi na kuchunguza.endelea>>.
-
Kwa jumla maeneo mengi nchini ni kame hivyo
kuwafanya wananchi kuishi kwa shida.Kuwepo kwa tatizo la maji
huchangia pia kuongezeka kwa umaskini ndani ya jamii.Imeshuhudiwa
wananchi wakilalamikia tatizo la maji katika maeneo kadhaa nchini
endelea>>.
-
CCM tumetanda kila mahali
nchini kwa ajili ya kampeni za kitaifa, za majimbo na kata kwa maana
za wabunge, wawakilishi na madiwani.endelea>>
-
Kazi ya kujenga Umoja wa Taifa
ili wananhci wajisikie wako huru na watu wa taifa moja, inafanyika kwa
misingi ya sera. Ziko sera za vyama vya siasa na serikali ambazo
husababisha kujengeka kwa umoja wa taifa huru na zipo sera ambazo
hujenga mfarakano, chuki, uhasama au kutominiani katika nchi.endelea>>
-
"ALAMA za mtu mnafiki ni tatu, akizungumza husema
uongo, akitoa ahadi hatimizi na akiaminiwa hufanya hiyana. unyago si
Jang'ombe tu hata Zingwezingwe nako huchezwa"
endelea>>
-
KWA mara ya nne mfululizo, Chuo Kikuu cha Mzumbe kilichoko Morogoro,
juzi kiliandaa kongamano la nne la kumkumbuka Baba wa Taifa, Hayati
Mwalimu Nyerere lililofanyika chuoni hapo, kilomita 25 kutoka Morogoro
mjini.endelea
>>.
-
MIAKA mitano si muda mrefu, lakini mtu anaweza kujipatia sifa kwa
kipindi hicho kifupi kwa mazuri aliyoyafanya kwa jamii yake
endelea
>>.
-
WAKATI tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu, hali ya usalama kwa wafuasi na
wapenzi wa vyama mbalimbali vya siasa inazidi kuwa hatarini, kwani
baadhi ya viongozi hawana ustaarabu hata kidogo. Wanajiona kama madume
wawili wanaogombea 'mchumba' mmoja, na hivyo kujengeana uhasama ambao
wanadhani namna ya kuumaliza ni 'kummaliza' mpinzani wako
endelea
>>..
-
KATIKA kipindi hiki
cha kampeni za uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika Oktoba 30, mwaka huu,
kila chama cha siasa kimo katika mikakati na mbinu nzito katika
kuhakikisha kinaibuka mshindi au hata kuambulia chochote katika
uchaguzi ujao ambao utakuwa wa tatu katika mfumo wa vyama vingi vya
siasa tangu kuasisiwa mwanzoni mwa miaka ya 1990
endelea
>>.
-
MIAKA ya hivi karibuni, Serikali imebuni mipango
kadhaa kamambe ya kupambana na umaskini nchini. Ni vema lakini kuelewa
kwamba sera za kupambana na umaskini zimekuwepo kwa miaka mingi
-
KAMPENI za kuwania
Urais, ubunge na udiwani zimepamba moto. Vyama vya siasa vimeenda kwa
kwa wananchi katika maeneo mbalimbali hapa nchini kujinadi
endelea
>>
-
UCHAGUZI katika nchi yoyote ni hatua muhimu kwa utekelezaji wa
demokrasia. Ufanikishaji wake huhusisha wadau mbalimbali zikiwemo
asasi zisizo za kiserikali (NGO) na taasisi za dini
endelea
>>
-
KIPINDI cha miaka kumi ya serikali ya awamu
ya tatu kimeshuhudia imani ya wananchi ikiongezeka katika kuanzisha na kujiunga
na vyama vya ushirika, hasa vya kuweka fedha na kukopa
endelea
>>
-
KIPINDI
cha miaka kumi iliyopita cha Serikali ya awamu ya tatu kimeshuhudia kufufuka na
kukua kwa kasi kwa uzalishaji viwandani, ikiwemo migodi.endelea
>>
-
KAMPENI
kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Oktoba, mwaka huu zimepamba moto. Vyombo
mbalimbali vya habari
endelea
>>
-
WAKATI kampeni
zikizidi kupamba moto, ahadi hewa na zisizotekelezeka zinazidi
kutolewa
endelea
>>
-
Kwa nini Watanzania wanajiandaa kuipa CCM ushindi wa
kishindo? endelea
>>
-
WAANDISHI wa habari wanawajibika kwa watu wanaoandika
habari zao na wale wanaowaandikia, ikiwemo jamii ambayo husoma habari
zao endelea>>
-
KATIKA kipindi hiki cha kampeni kwa ajili ya Uchaguzi
Mkuu ujao, watu wasiojua siasa za Temeke,
endelea>>