UHURU 26.10.2005
Mkutano wa
Na Omar Shaaban, Karatu
MKUTANO wa kampeni wa Mgombea wa
kiti cha Urais kupitia CHADEMA,
katika jimbo la Karatu lililokuwa
likishikiliwa na chama hicho,
kwa kuwa na mahudhurio hafifu.
Wengi waliohudhuria mkutano huo ni watoto ambao walikuwa wakipiga kelele na
hivyo kumfanya mgombea huyo kukatisha hotuba yake mara kwa mara.
Mkutano huo, ulifanyika katika viwanya vya Halmashauri ya Manispaa ya Karatu.
Kelele hizo zilitokana na watoto hao kupinga hatua ya wazee wachache waliokuwa
wakiwakanyaga.
Mahudhurio hayo yameelezwa kuwa yameshindwa kuvunja rekodi ya mgombea wa kiti
cha urais kwa tiketi ya CCM,
katika mkutano
Akizungumza katika mkutano huo, Mbowe alisema yuko radhi yeye na wagombea ubunge
kutoshinda ili kuhakikisha amani ya
Katika hotuba yake hiyo, Mbowe mbali ya kukiuka taratibu kwa kuzidisha muda
akiwa jukwaani kwa zaidi ya robo saa, alisisitiza umuhimu wa kudumisha amani
nchini.
Akisisitiza, Mbowe alisema yupo radhi apoteze ushindi wa kiti cha Urais na
wabunge wapoteze viti vyao kuliko
amani ya
Mbowe ambaye katika kampeni amekuwa akitembea kwa Helkopta na kuvuta watu wengi,
alitarajiwa kupata mapokezi makubwa
katika jimbo
kilikuwa kikilishikilia kwa kipindi kilichopita.
Tifauti na matarajio hayo,
kuhudhuria mkutano huo, hali inayotafsiriwa kuwa ni dalili za dhahiri za
kuvunjika kwa kile kilichokuwa kinadaiwa kuwa Karatu ni ngome ya Chadema.
Tume ya Uchaguzi
yafafanua kuhusu majina
Na
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema wapiga kura ambao majina
hayataonekana katika vituo walivyojiandikisha hawataruhusiwa kupiga kura.
Mwenyekiti wa Tume,
akiwalezea hatua zilizofikiwa katika maandalizi ya uchaguzi mkuu Jumapili ijayo.
Alisema uamuzi huo wa Tume unazingatia haja ya kuzuia
mkanganyiko katika suala zima la upigaji kura na kuongeza kuwa utaratibu wa kuwa
na daftari la kudumu la wapiga kura linaanza kutumika kwa mara ya kwanza mwaka
huu nchini, hivyo hakuna uzoefu wa kutosha.
Kuhusiana na wapiga kura ambao picha zao hazitakuwa zinaonekana vizuri, alisema
utafanyika uhakiki wa kulinganisha kitambulisho na ile iliyopo kwenye daftari na
msimamizi atakaporidhika ndiyo atamruhusu.
Aliwashauri watu wote ambao walihama na hawakutoa taarifa ya uhamisho wao kabla
ya Julai 31, mwaka huu
walivyojiandikisha mwanzo, vinginevyo hawataruhusiwa kupiga kura.
Awali, Tume ilikuwa na kikao na viongozi wa vyama vyote vyenye usajili wa kudumu
katika hoteli ya New
iliyofikiwa.
Uchaguzi utafanyika kati ya saa moja asubuhi na saa 10.00 jioni kwa
Alisema tofauti ya muda inatokana na
kura, ambao ni Rais wa
wanaopigiwa kura kwa pande zote za Muungano, ni Rais wa Jamhuri ya Muungano,
Wabunge na Madiwani.
Mwenyekiti alisema kuwa wanawake wajawazito, wagonjwa wazee na walemavu watapewa
kipaumbele katika kuruhusiwa kupiga kura kwanza ili kuwandolea bughudha kutokana
na hali zao.
Jeshi la Polisi nalo
ugomvi, matusi, kejeli pamoja na mikusanyiko ya aina yoyote wakati wa kupiga
kura na kwamba ni mawakala tu wa vyama vya siasa ndio watakaoruhusiwa kubakia
kwenye vituo.
Taarifa iliyotiwa saini na msemaji
wa jeshi
polisi itasimamia na kuhakikisha hakuna shughuli za kampeni siku ya kupiga kura.
Mgombea wa CUF Shinyanga ahojiwa polisi
Na
MGOMBEA Ubunge kwa tiketi ya CUF,
polisi kwa tuhuma za kuhamasisha vurugu siku ya uchaguzi.
Kamanda wa Polisi mkoani humo,
ofisini mwake
uvunjifu wa amani wakati akihutubia mkutano wake wa kampeni katika eneo la
Nguzonane juzi.
Mssika, alisema, mgombea huyo aliwataka wapiga kura kutokuondoka kwenye kituo
cha kupiga kura baada ya kutumbukiza kura zao kwa kile alichodai kulinda wizi wa
kura.
siku ya upigaji kura endapo kila chama kitawataka wafuasi wake kubaki kwenye
vituo baada ya kupiga kura.
Mssika, alisema kinachotafutwa kutoka kwa mgombea huyo ni ufafanuzi wa kina juu
ya maana halisi ya kauli yake ya Nguzonane ya Oktoba 21, na vituo vya kupigia
kura.
Kinana asema Kikwete
anafaa kuwa rais
Na
SPIKA wa Bunge la
wa kiti cha urais kwa tiketi ya
Chama cha Mapinduzi,
kumwelezea kuwa ana sifa zinazomstahili kuwa rais.
Kinana ambaye anaongoza timu ya kampeni za CCM kanda ya Kaskazini, alitoa sifa
hizo katika mikutano ya kampeni iliyofanyika juzi katika kata za Kahe, Kirua
Alisema mgombea huyo wa kiti cha urais amekuwa waziri ndani ya serikali ya awamu
ya kwanza, ya pili na ya tatu kwa kipindi cha zaidi ya miaka 20, tofauti na
wagombea wa vyama vya upinzani aliodai wengi wao hawana hata ofisi.
Alisema kutokana na uzoefu huo ndani ya serikali, Kikwete ameweza kuzitembelea
nchi mbalimbali duniani na kufahamiana na marais wengi, ambao wengi wao
walimtumia salamu za pongezi baada ya kuchaguliwa na chama kuwania kiti hicho.
Ziara hiyo ya Kinana imefufua matumaini makubwa kwa Chama cha Mapinduzi kuweza
kuyanyakua majimbo manne yanayoshikiliwa na wapinzani kutokana na mikutano yake
kuvuta mamia ya watu.
Aliwaponda wabunge wa vyama vya upinzani akidai kuwa hawana mchango wowote ndani
ya bunge, na kazi
mishahara
Alisema wabunge hao wa upinzani hawana uwezo wowote wa kutunga sera wala
hawawezi kuwaletea maendeleo wananchi, na kuwataka wana Kilimanjaro wabadilike,
na wafanye mkataba na serikali ya Chama cha Mapinduzi.
Katika ziara hiyo ambayo Kinana anafuatana na mjumbe wa
ya Chama cha Mapinduzi,
kanda ya Kaskazini, alifanikiwa kuzoa wanachama wengi kutoka vyama vya upinzani.
Alisema serikali ya Chama cha Mapinduzi itatekeleza kwa vitendo ahadi zake zote
alizotoa mgombea wa urais, ikiwemo kuboresha elimu na kuwatengenezea mazingira
mazuri ya kupata ajira vijana wengi.
Wakati huo huo wagombea wawili wa
udiwani katika kata ya
jimbo la Moshi vijijini kupitia vyama vya TLP na CHADEMA, wametangaza kujitoa
kuwania nafasi hizo.
Hatua hiyo ni pigo kwa vyama hivyo ambapo sasa mgombea wa kata hiyo kupitia CCM,
uchaguzi mkuu Jumapili ijayo.
Waliojiengua ni Blasi Mchau (CHADEMA) na Patrick Tarimo (TLP), amabao wote kwa
pamoja wamemwandikia barua
msimamizi wa uchaguzi katika jimbo
Kitimbo, kumuelezea uamuzi wao huo.
Na
MGOMBEA ubunge katika jimbo la Moshi mjini,
atachaguliwa katika uchaguzi wa mwaka huu atatoa msukumo kwa chama na serikali
itekeleze sera zinazolenga kuleta
maendeleo kwa wananchi wa jimbo
Aliyasema hayo
mikakati mingine alisema CCM imelenga kuboresha maisha ya wakazi wa Moshi, kwani
miongoni mwa sera zilizoko kwenye
ilani ya CCM imewalenga wananchi wa jimbo
katika kuwaletea maendeleo.
Alieleza kuwa ilani imeainisha majukumu ya serikali ya kuwavutia wawekezaji
ambao watakuja kuwekeza na kutoa ajira kwa vijana na kinamama, na kuongeza kuwa
hatua hizo zimeanza kuonekana ambapo kituo cha uwekezaji cha kanda na mkoa
kimezinduliwa mkoani hapa kwa ajili ya kuainisha maeneo ya kuwekeza.
Minde aliongeza kuwa mji wa Moshi
umeshuka kiuchumi na
kushuka kwa zao la kahawa ambalo lilitegemewa na wakazi wa Moshi, na kuongeza
kuwa sera za CCM zimeeleza mipango
ya kufufua zao
Pia alisema pamoja na mipango hiyo ya serikali na kwa mujibu wa ilani ya CCM,
jukumu kubwa ni la kuwakomboa wananchi katika umasikini kwa kuwawezesha kujikimu
kimaisha, na hali hiyo inaweza kutatuliwa kwa kufufua viwanda vilivyokufa ili
kuwezesha wananchi kupata ajira.
Minde alisema viwanda ndio kitovu cha maendeleo kwa wananchi kwani uchumi
utapanuka zaidi iwapo viwanda vitafanya kazi.
"
vilivyokuwa vikifanya kazi, lakini viwanda hivi vimekufa na hili limesababisha
uchumi wa mkoa kuanguka na wananchi wengi wameshindwa kujiendesha, maana hata
zao la kahawa nalo lilikuwa linashuka. Hivyo tuna kazi kubwa ya kuweka mikakati
ya kufufua vitu vyote hivi ili kuinua upya uchumi wa mkoa," alisema mgombea
huyo.
Azungumzia nafasi za wanawake kujitokeza kugombea nafasi mbali mbali alisema
mfumo dume bado unaonekana kuwatatiza wanawake kujitokeza kugombea katika
uchaguzi mbali mbali, akatoa wito wanawake wapambane na mfumo huo kwa kujitokeza
kwa wingi kuwania nafasi mbali mbali za uongozi siyo wa siasa tu, bali hata wa
sehemu za kazi.
"Wanawake wako wengi wenye uwezo na wanaojieleza vizuri, lakini wanahofia maneno
ya kashfa na kejeli ambayo yanajitokeza wakati wa kampeni. Hili limekuwa tatizo
na pia ili mwanamke aweze kuongoza inabidi awe na uwezo mara mbili ya mwanamme
ndio atapewa nafasi," alisema.
Kwa upande wa huduma za kijamii aliipongeza serikali kwa kuboresha huduma hizo
ambazo ni afya kwa kufanya ukarabati wa hospitali ya mkoa Mawenzi, kuongeza
zahanati kwa takribani kata zote mkoani Kilimanjaro, kusambaza huduma za maji
kwa wananchi, na kusema serikali itaendelea kuwahudumia wananchi kwa kuboresha
huduma hizo na kukamilisha utekelezaji wa huduma nyinginezo.
Aliwataka wana-CCM mjini Moshi kuwahamasisha wananchi kuipigia kura CCM katika
uchaguzi wa Oktoba 30 mwaka huu, ili kutekeleza ahadi zilizotolewa kwa wananchi
na ambazo zimo kwenye ilani ya ucahguzi wa mwaka huu.
Mgombea ubunge wa CUF Gairo asalimu amri na kurejea CCM
Na
Ikiwa zimebaki siku ne kuhitimisha kampeni na kufanyika Uchaguzi
Mkuu, mgombea ubunge katika jimbo la Gairo kwa tiketi ya CUF,
Lemnyambwa, amejing’atua kutoka chama hicho na kujiunga na CCM.
Lemnyambwa aliikimbia CUF baada ya kukabidhi kadi yake ya uanachama wa chama
hicho namba 0850506 ya mwaka 2000, kwa mgombea mwenzake wa ubunge kwa tiketi ya
CCM katika jimbo la Gairo,
Akizungumza na waandishi wa habari baada ya kukabidhi kadi kwa Shabiby, mgombea
huyo alizitaja sababu za kujitoa kwake katika kuwania ubunge kwa tiketi ya CUF,
ni kutelekezwa na uongozi taifa wa chama hicho katika kaMpeni zake za kuwania
ubunge.
Alisema tokea kuanza kwa kampeni za ubunge uongozi wa taifa wa chama
alichokihama umemtelekeza na haujampa msaada wa kikampeni katika jimbo alilokuwa
akiwania la Gairo.
Alisema alishangazwa na uongozi wa taifa wa CUF kumpa Sh. 250,000 kwa ajili ya
kununulia vifaa vya kampeni bila kujali Angeishi vipi katika mizunguko yake ya
kampeni hizo.
Alieleza kuwa kampeni siyo vifaa pekee, bali ni pamoja na kula na kulala katika
maeneo mbali mbali anayotembelea katika jimbo lake, ambako ni mbali na nyumbani
kwake.
jimboni Gairo, amekuwa akipata ushirikiano mdogo kutoka uongozi wa taifa, kiasi
cha kushindwa kuteua meneja wake wa kampeni.
Hata hivyo, alisema kuwa kikubwa zaidi kilichomkatisha tamaa ni uongozi wa CUF
kutokuwa wakweli katika suala zima la ruzuku kwa wagombea wake wa nafasi
mbalimbali.
“Tangu kuanza kwa nyimbo za kupewa
ruzuku kwa ajili ya kampeni, mpaka
(
majeruhi,” alisema
wa urais kwa tiketi ya CUF,
kumnadi akiwa ameongozana na magari zaidi ya 10, wakati yeye akitumia baiskeli
na wakati mwingine kulazimika kutembea kwa miguu kusaka kura katika baadhi ya
vijiji na kata.
Alidai kitendo hicho kimemuonesha kuwa CUF ianajali maslahi ya ubinafsi zaidi
kuliko maslahi ya chama
ahadi za uongo kwa wagombea wake, hali ambayo alidai itamuwia vigumu kutimiza
ahadi anazotoa kwa wananchi wakati wa kuomba kura.
Wakati huo huo mgombea wa jimbo la
Gairo kwa tiketi ya CCM,
timu yake, wamesambaratisha ngome ya CUF katika kijiji cha Dumila jimbo la
Kilosa.
Timu hiyo ya wana-CCM ilikwenda jimboni Kilosa kumuunga mkono mgombea wake wa
ubunge
Akizungumza na waandishi wa habari,
Meneja wa kampeni za CCM jimbo la Gairo,
Mwenegoha, alisema timu hiyo ya wana-CCM ilimwaga sera na ilani ya CCM, kiasi
cha kuisambaratisha ngome hiyo ya CUF na wanachama wake 45 kurudisha kadi na
kujiunga na CCM.
Njama za kufanya
vurugu zagunduliwa
Na
Serikali mkoani Kigoma imegundua njama zinazopangwa na chama kimoja cha siasa
katika wilaya ya Kigoma, zenye lengo la kufanya vurugu siku ya kupiga kura.
Mkuu wa wilaya Kigoma, Henry Clemence, aliwaambia waandishi wa habari mjini hapa
kuwavisha sare za CCM wafuasi wake ili ionekane wanaofanya fujo ni wafuasi wa
CCM.
Clemence alisema kamati ya ulinzi na usalama wilayani imekutana na imeweka
mkakakti wa kuhakikisha wote wenye lengo la kufanya vurugu siku hiyo
wanadhibitiwa, na kuchukua hatua zinazostahili.
Mkuu huyo wa wilaya amewaonya wananchi wilayani humo wasikubali kutumiwa na watu
wanaotaka kuanzisha vurugu ambazo zitahatarisha usalama na amani wa watu
wilayani humo.
Pia aliwataka wananchi wote siku ya kupiga kura kwenda kupiga kura na baadaye
kuendelea na shughuli zao nyingine, badala ya kukaa vituoni bila kuwa na
shughuli yoyote jambo ambalo linaweza likawa chanzo cha kuzuka kwa vurugu.
Pia alitoa wito kwa wapiga kura kufuata maelekezo ya wasimamizi wasaidizi katika
vituo vya kupigia kura, ili kuepusha ugomvi usio wa lazima na kuchangia
kuvurugika kwa upigaji kura.
Sambamba na hayo, mkuu huyo wa wilaya aliwataka wananchi wilayani humo matokeo
yatakapotolewa, kusherehekea ushindi wa mgombea atakayeshinda kwa amani, bila
kuathiri shughuli za watu wengine na kuanzisha vitendo ambavyo vinaweza
kusababisha ugomvi na uvunjifu wa amani.
Aonya vyama vya upinzani vidhibiti wanachama wao wasifanye fujo
Na
MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro,
uongozi mkoani humo, kuwadhibiti wanachama wao na kufanya kampeni za kistaarabu
ili kuepusha vurugu zinazowaathiri wananchi na wanachama wa vyama hivyo.
ya vyama vinavyolenga kuhatarisha hali ya amani.
Kauli ya mkuu wa mkoa imetolewa kufuatia vurugu zinazotokea katika baadhi ya
mikutano ya kampeni za vyama vya siasa kwenye maeneo mbali mbali ya mkoa wake.
Alisema kila vurugu zinazopotokea kila chama kinachodaiwa kufanya kinakataa
kuhusika na vurugu hizo, jambo ambalo linasumbua serikali.
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro alikutana na viongozi wa vyama vya siasa ngazi ya
mkoa, Tume ya Taifa ya Uchaguzi na vyombo vya dola, ambapo aliwapa kazi wadau
hao kuhakikisha wanaepusha vitendo vinavyoashiria kuvuruga amani wakati huu wa
kampeni na siku ya uchaguzi.
Alisema serikali haitovumilia vitendo vya uvunjaji wa amani, na atakayebainika
kushiriki katika kupanga au kufanya vurugu atawajibishwa kwa mujibu wa sheria za
nchi.
Vyama vya siasa mkoani hapa vimekuwa vikiendelea na mikutano ya kampeni, ambapo
baadhi yake imekuwa ikiripotiwa kutokea vurugu zinazosababishwa na wanachama
huku malalamiko yakiangukia kwa wagombea kuhusika katika kupanga vurugu hizo.
Wakati serikali ikitoa tamko
amedaiwa kufanya mikutano katika jimbo la Vunjo kinyume na mwongozo wa ratiba za
kampeni.
Akihojiwa kwa njia ya simu
Moshi vijijini,
Mrema kuhutubia wananchi wa eneo la Himo.
kuwa baada ya kuzuiwa alichukua jukumu la kuhamishia mkutano huo eneo jingine
ndani ya jimbo
Hata hivyo, alidai polisi wanaoongozwa na mkuu wa kituo cha Himo wamefuatilia
eneo
Alipoulizwa kuhusiana na tukio
inafuatilia kupata taarifa sahihi kuhusiana na kuvurugwa ratiba za kampeni.
Na
RAIS Benjamin Mkapa amesema msimamo wa
Rais wa
wananchi ardhi isiyotumika ni wa haki na unalenga kuwajali wananchi wake.
Mkapa alitoa msimamo huo juzi nchini
kilichoandaliwa kwa heshima yake na
Katika hotuba ambayo nakala ilipatikana mjini
haikubaliki na wala haingii akilini kuona Waafrika wanakosa ardhi ya kulima
wakati watu wachache wanayo ardhi ya kutosha lakini hawaitumii.
“Kwa kipindi kirefu Afrika imefundishwa masuala ya siasa, uchumi na haki za
binadamu, sasa muda umefika kwa Afrika kujipanga upya na kutetea haki, tuchukue
madaraka ya kujiamulia mambo yetu na siyo kushinikizwa na nchi za nje,” alisema.
Alisema uongozi mpya wa Afrika hautakubali kuongoza nchi kwa matakwa ya watu wa
nje na kwamba uongozi mpya utasikiliza mawazo ya viongozi wa Afrika wazoefu ili
wafanye kazi kwa manufaa ya Afrika.
kusaidiana na kwamba nchi za Afrika
hazina budi kuunga mkono msimamo wa
kuhusu umuhimu wa kuwapatia ardhi wananchi.
za binadamu kufuatia kitendo cha nchi hiyo kugawa ardhi iliyokuwa ya wazungu kwa
wananchi wasio na ardhi.
Lakini pia wazungu walidai uchaguzi wa
haki.
itasimama daima upande wa
vikwazo
“
Kusini mwa Afrika (SADC) ambayo kwa
kweli inaweza kuzisaidia
ikiwa tutaimarisha,” alisema
ili kuboresha masuala ya biashara na mawasiliano baina ya nchi wanachama wa
Jumuia hiyo.
kwamba kinachotakiwa ni kuangalia uwezekano wa kampuni za ndani ya nchi hizo
namna ya kufanya biashara.
Wapambe wa Murji wadai ni ndumilakuwili
KIGUGUMIZI kilichompata
nia ya kuhama Chama cha Mapinduzi na baada ya muda kughairi kumemfanya aonekane
ndumilakuwili mbele ya wapambe wake.
Wapambe ndani ya kambi yake imemshtukia na kumwambia kuwa anawapeleka pabaya.
Habari za kuaminika zinadai kuwa wapambe wengi wamemtosa kutokana na kugundua
kuwa maamuzi yake siyo ya busara na ameweka mbele zaidi maslahi yake kuliko ya
Chama na wananchi.
Kambi ya mbunge huyo wa zamani ambaye aliwahi kuwa wa Jimbo la Mitema,
Tandahimba na akatoka kugombea jimbo la Newala ambako alikuwa mbunge katika
bunge lililopita, inadaiwa
imeisumbua
kutokana na undumakwili wake.
Kwa mujibu wa watu walio karibu
yake ambao baadhi
mikakati yake ya kumwezesha kunyakua ubunge wa jimbo hili, Murji alipata wakati
mgumu siku aliyotishia kutaka kuondoka CCM baada ya kugundua wengi waliokuwa
wanamshabikia walikuwa wanafikina kwamba hawakuwa tayari kuungana naye kwa hatua
hiyo.
"Unajua huyu jamaa alipiga hesabu vibaya na kuona kuwa akiingia upinzani atavuna
watu, hasa viongozi wa CCM na wagombea wa udiwani aliowasaidia kushinda kura za
maoni," alidai mmoja wa watu muhimu katika kundi lake.
"Alikuwa hajui kuwa watu wamebadilika na baada ya kutafakari na kuona
anatupeleka pabaya huyu jamaa anaonekana kuwa na staili za Mrema," alisema
mpambe huyo ambaye hakutaka jina
"Hawa watu wa Murji wanataka
kutufanya watu wajinga, watuburute kwa manufaa
tunajua kuwa wao wana mikataba, sasa sisi wananchi tukimbilie tu," alisema
mwananchi mmoja katika baa moja maarufu mjini hapa kufuatia habari zilizokuwa
zimezagaa kuwa amehama
Habari kutoka maeneo mbali mbali ya mji zinadai kuwa wengi walisema heri aondoke
CCM kutokana na kambi yake kuwasumbua watu kwa kuwashawishi wapigie upinzani,
kuandaa vijana wa kuzomea mikutano ya CCM bila sababu.
Murji aliyekuwa amepambana na
kinyang'anyiro cha ubunge
kumwacha mbali mwenzie aliyepata
kura 92 alienguliwa na
ambayo ilimpendekeza Sinani.
Tangu uteuzi huo ufanyike kumekuwa kukijitokeza matukio mengi mabaya katika
kampeni ya CCM yanayodaiwa kufanywa na kambi yake inayodaiwa kukataa kuivunja,
ingawa alinukuliwa mara mbili na gazeti hili akidai kuvunja kambi hiyo.
Lakini katika hatua ambayo haikutarajiwa wiki hii alitaka kula matapishi yake
alipotangaza kukihama Chama na kuingia upinzani, lakini juzi alibadili msimamo
kwa kudai ilikuwa uamuzi huo ulitokana na hasira.
Shirika la
Na
SHIRIKA la Umeme la
za kupitisha umeme kutoka
tena njiani wakati ukitoka katika gridi ya taifa.
matengenezo hayo muhimu yamekuja baada ya kuwepo kwa uchakavu mkubwa wa vikombe,
bolti pamoja na minara ambayo ilikuwa tayari imeanza kuota kutu huku ikiwa
katika hatari ya kuanguka.
Minara hiyo ambayo tangu kuwekwa kwake katika mwaka 1979 ilikuwa haijafanyiwa
matengenezo yeyote makubwa, na
kuwepo katika hali mbaya ambapo
basi shirika
“Sasa tunao uhakika wa kuitumia minara hii kwa muda mrefu bila ya kuifanyia
matengenezo, kwani ukarabati umefanywa kwa kutumia teknolojia ya kisasa ambapo
umeme haukuzimwa katika kipindi chote cha matengenezo,” alisema Juma.
Matengenezo hayo yaliyofanywa na kampuni ya MACDONALD kutoka Tanzania Bara
ambapo walifanya kazi za kuweka nati na bolti pamoja na kubadilisha vikombe
vilivyoharibika katika kipindi chote bila ya kuzima umeme.
kuifanyia ukarabati minara 20 ilikuwa kubwa, kutokana na baadhi ya vifaa
vilivyomo ndani yake kuwa vimeharibika kabisa na hivyo kulazimika kutafuta
vipuri vingine nje ya nchi.
hayo ambao ni kutoka Visiwani ili kuepuka shirika kutafuta mafundi wengine
wakati wanapotaka kufanya matengenezo mengine madogo madogo.
Jumla ya mafundi 20 wa hapa walishirikiana na kampuni ya MACDONALD chini ya
Mwakemela katika kufanya matengenezo ya minara hiyo ambapo katika kipindi cha
miezi sita ya kazi hiyo umeme haukuzimwa hali ambayo imewafanya wananchi kufanya
shunguli zao bila ya usumbufu.
Sumaye awataka waandishi wa habari kujiendeleza kitaaluma
Asifu mkakati wa TAMWA kusomesha wanachama wake
Na
WAZIRI Mkuu Frederick Sumaye amewakumbusha waandishi wa habari umuhimu wa
kujiendeleza na wamiliki wa vyombo vya habari kuweka mkakati wa kutoa mafunzo
kwa wafanyakazi wao.
Sumaye alitoa ushauri huo juzi jioni alipozungumza na waandishi wa habari kutoka
vyombo mbalimbali aliowaandalia chakula nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar es
Salaam kwa lengo la kuwaarifu rasmi kustaafu kwake.
“Tabia ya kunyang'anyana waandishi wachache waliosoma ni mbaya na
wake, hivyo ni jukumu la kila mwaajiri kusomesha waandishi wake ili chombo chake
kiheshimike,” alisema.
wa kuchangisha fedha za kuwasomesha wanachama wake kwamba ni wa kuigwa na kila
taasisi ya habari.
Akizungumza maendeleo ya habari nchini,
habari kuacha tabia ya kuikashifu
nchi
Sumaye alisema serikali imefanya mambo mengi mazuri, lakini vyombo vya habari
vimekuwa vikiripoti mambo madogo madogo ambayo hayana msingi, na kwamba mambo
hayo yamechangia kupotosha nchi za nje.
"Nchi ni yetu na ninyi ni yenu… hivyo ni yetu sote,” alisema na kuongeza kwamba
waandishi wa habari nchini hawana budi kujenga tabia ya uzalendo kwa kutangaza
mazuri yanayohusu
Alisema serikali ya awamu ya tatu imejitahidi kuweka misingi mizuri ya utawala
bora, kufuata sheria na kutekeleza mipango ya maendeleo kwa uhakika, lakini mara
nyingi habari zilizotawala ni zile zinazokebehi jitihada hizo na
zinazodhalilisha taifa.
Akizungumzia janga la ukimwi, Sumaye ameonya kwamba ugonjwa wa ukimwi una uwezo
wa kuangamiza ukoo au kabila, endapo tu wahusika wataendekeza vitendo
vinavyosababisha kuenea kwa virusi vya ugonjwa huo.
Alisema takwimu za maambukizo zinatisha na kwamba mara nyingi wanaokumbwa ni
watu wanaotegemewa na familia au serikali kwa jumla, jambo ambalo aliwasihi
waandishi wa habari kuongeza kasi ya kuandika athari za ugonjwa huo ili wananchi
wabadili tabia.
Kuhusu uchaguzi mkuu ujao, Waziri Mkuu aliwataka waandishi wa habari kutoa
taarifa zinazotoa matumaini kwa wananchi kwa nia ya kuimarisha umoja wa kitaifa
na siyo kusambaratisha.
Alisema ni hatari kutoa taarifa za uchochezi, bali vyombo vya habari viendelee
kukemea vurugu zinazochochewa na wanasiasa uchwara.
Kwa upande wao, waandishi wa habari
walimpongeza
kushirikiana vizuri na vyombo vya habari katika kipindi chote cha uongozi wake.
NBC Ltd waendelea na kazi
Na
WAFANYAKAZI wa benki ya NBC Ltd
nchini
mgomo wao tangu juzi mchana kufuatia ombi la menejimenti kushughulikia tatizo la
kutiwa saini mkataba wa hali bora kabla ya Ijumaa ya wiki hii.
Juzi, wafanyakazi wa benki hiyo
matawi mbalimbali yakiwemo ya Arusha,
kutia saini mkataba wa hiari na hali bora ya mafao.
Hata hivyo kuanzia saa saba juzi
hadi
yaliyohusika na mgomo waliendelea
na kazi
menejimenti.
Menejimenti iliwaomba wafanyakazi suala la kutiwa saini au kutotiwa litajulikana
siku ya Alhamisi na iliomba wachukue hatua yoyote baada ya siku hiyo.
Katibu wa chama cha wafanyakazi wa viwanda na biashara, taasisi za fedha, huduma
na ushauri (TUICO)
lakini habari zilizopatikana zilisema TUICO na menejimenti walifanya kikao
ambacho kilikubaliana kwamba suala la kutiwa saini lifanyike siku ya alhamisi.
Tukio
mbili.
Wakati huo huo, menejimenti ya NBC Ltd iliwaomba radhi wateja wake kwa tukio la
kukosa huduma baada ya wafanyakazi kugoma juzi.
lilitokea kwa bahati mbaya na kwamba halitatokea tena.
Vries alisema juhudi zinafanyika kwa
nguvu zote ili kuepusha tukio
lisitokee tena na kwamba menejimenti na TUICO wana uhakika watamaliza mambo hayo
kwa maelewano mazuri.
Kasi ya mageuzi ya
uchumi yaongezwa
Na
SERIKALI imeamua kuongeza kasi ya mageuzi ya kiuchumi kwa kuandaa mipango ambayo
itachochea ukuaji endelevu wa uchumi na maisha ya wananchi vijijini.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi,
Ofisi ya
wakati akifungua mfumo wa utumiaji wa stakabadhi za mazao kwenye maghala
unaosimamiwa na Programu ya
(AMSDP), katika kata ya Chimala wilayani Mbarali.
Lukuvi alisema mojawapo ya mazingira hayo ni kuwepo kwa masoko ya kuaminika
vijijini ambako ndiko kuna shughuli za kilimo.
Alisema wafanyabiashara na wakulima wadogo wanafanya shughuli zao mmoja mmoja na
hivyo kukosa uwezo wa kunadi bidhaa zao katika masoko kwa sababu ya ufinyu wa
soko.
"Siyo hivyo tu, wakulima hawa pia hawana habari zozote kuhusu soko hili ikiwa ni
pamoja na kutofahamu bei za bidhaa katika masoko hayo na kushindwa kupata mikopo
itakayowawezesha kuhifadhi mazao
Aliongeza kuwa hali hii kwa kiasi kikubwa inamwathiri mkulima mdogo kwa sababu
hulazimika kulipia gharama za kusafirisha mazao yake kwenda kwenye soko na kuwa
katika baadhi ya vijiji hakuna maghala ya kuaminika.
Pia alibainisha kuwa mfumo wa stakabadhi za mazao kwenye maghala unaweka
utaratibu wa kisheria wa kuainisha na kutoa leseni kwa waendeshaji wa maghala ya
kuhifadhia mazao.
"Utaratibu huu huwapa uwezo wa kisheria watunza maghala hayo kutoa stakabadhi
kwa wakulima au wafanya biashara wa
mazao ya kilimo watakaotunza mazao
kwenye maghala" alisema Lukuvi.
Alisema stakabadhi hizo ambazo hujulikana
hadhi na thamani
Lukuvi alisema kwa kutumia stakabadhi hizo, wakulima watapata mikopo kwenye
asasi za fedha kwa kuziweka rehani.
Naye mratibu wa wa Programu ya
AMSDP,
programu hiyo ni kumuongezea kipato mkulima ili kupunguza makali ya umasikini na
hatimaye kuuondoa kabisa.
Katinila aliongeza kuwa utekelezaji wa programu hiyo utagharimu kiasi cha sh.
bilioni 48 na utatekelezwa katika halmashauri za wilaya 38 katika mikoa minane.
Aliitaja mikoa hiyo kuwa ni Manyara, Arusha, Kilimanjaro, Tanga, Mbeya, Iringa,
Amuua kwa kumchoma kisu 'bwana wa nje' wa dada yake
Na
POLISI Mkoani hapa inamshikilia
Kiterela katika manispaa ya
Simoni (37) wa kijiji hicho.
Hayo yalisemwa
alipokuwa akiongea na waandishi wa habari ofisini kwake mjini hapa.
Mganga alisema tukio
ya kuzuka ugomvi baina ya
Alisema ugomvi huo ulizuka kati ya wanandoa hao ambao walikuwa wakinywa pombe
katika klabu na kuanza kutoleana matusi.
Mganga alisema baada ya ugomvi huo, marehemu Simoni ambaye anadaiwa kuwa ni
'bwana' wa Semeni, aliposikia ugomvi huo akiwa ndani ya klabu alikwenda
kuwaamulia wanandoa hao.
Chigonela ambaye ni kaka wa Semeni naye alikuwa ndani akipata kinywaji,
alikwenda kuamulia ugomvi huo na
alipowafikia alitoa kisu na kumchoma
ubavuni na kusababisha kifo chake papo hapo.
Alifafanua kwamba, awali kulikuwa na uhusiano wa kimapenzi kati ya marehemu huyo
na Semeni na kwamba uhusiano huo umekuwa ukichangia kuwepo kwa ugomvi kati ya
ndoa ya
Kutokana na tukio
karibuni mtuhumiwa Chigonela.