ADHMA YA
KIKWETE
Tunapenda kukipongeza
Sera ya ujamaa na kujitegemea ni mfano mdogo tu ambao umeipa Tanzania
heshima kubwa ndania na nje ya nchi na kuwa mfano bora kwa mataifa ya Afrika na
ulimwengu wa nchi za kusini kwani umewajengea Watanzania utamaduni wa kuishi
pamoja kwa amani, upendo na mshikamano, jambo ambalo kwetu sisi Watanzania ni
heshima na faraja kubwa. Kwa watanzania wapenda maendeleona wenye mapenzi mema
kw nchi yao tutakuwa wachoyo wa fadhila kama hatuataliona hili kuwa jambo jema
kwetu na nchi na bila shaka tuatungana na wenzetu “Chama Cha Mapinduzi” katika
kuwaenzi waasisi wa chama hicho, kukipongeza chama na viongozi wake wa wa awamu
zote jwa kuheshimu ustawi wa watu wake na kuifanya Tanzania sehemu salama ya
kuishi nakimbilio la wageni.
Tunaungana na wenzetu ambao kwa wakati tofauti hasa katila lipindi hiki
cha uchaguzi wamekuwa wakiandika na wanaendelea kuandika makala mbalimbali
yanayohusu mafanikio ya Chama Cha Mapinduzi na sera zake katika awamu
mbalimbali. Sisi tunapenda kutumia fursa hii kuelekeza maoni na hisia zetu
katika hotubanaahadi za matumaini makubwa aliyonayo mgonbea wa
Katika hotuba zake za kampeni ya kuelekea ikulu mgombea huyo meongelea
mambo mengi na yamsing kwa maendeleo ya Mtanzania.
Mpamgo huu wa kuimarisha miundo mbinu hususan ujenzi wa barabara kuu
zinazounganisha mikoa unagusa na kuvutia watanzania wengi. Tunaipongeza
serikali yua awamu ya tatu ya CCM maana kwa kufanya hivyo, imetambua umuhimu wa
miundo mbinu hasa usafiri wa barabara katika maendeleo ya nchi, jambo ambalo
katika enzi hii ya utandawazi ambapo dunia sasa ni kama kijiji linatakiwa
kupewa kipaumbele katika mipango ya maendeleo ya nchi kwani barabara kama
nyenzo muimu ya usafiri wa umma ni daraja muhimu la kuivusha nchi katika
maendeleo ya ulimwengu wa utandawazi na umasikini.
Adhma hiyo ya
Serikali ya
Katika kipindi cha 205 – 2010, Chama Cha Mapinduzi pia kimepanga mipango
ya kukarabati barabara zote kazi ambayo inaendelea na ujenzi wa kiwango cha
lami amabo umeshaanza ikiwemo barabara ya Manyoni – Singida na Shelui Kigoma –
Biharamulo – Lusamoja na kuwanza ujenzi wa kiwango cha lami barabara za
Minjinga – Babati – Singida, Arusha – Namanga na kuzifanyia upanuzi barabara za
Mtwara – Masasi – Songea - Mbamba bay,
Maganzo – Maswa – Bariadi – Mpulawandi; Babati – Dodoma – Iringa. Hili si jambo
dogo kwetu sisi na kwa maendeleo ya nchi hivyo tunaipongeza
Mpango wao kabambe wa uimarishaji miundo mbinu unatoa Changamoto kubwa
ya maendeleo kwa wananchi unaoonesha ni
kwa jinsi gani serikali ya awamu ya nne ya Chama Cha Mapinduzi imepania
kuona kuwa wananchi wake wanajengewa mazingira mazuri ya maendeleo kwani kwani
kuimarika kwa mawasiliano katiak sekta hiyo muhimu ikiwemo usafir wa barabarautaimarish
mawasiliano mazuri ya biashara kati ya
mikoa ya Tanzania na nchi jirani pia
kutafungua milango ya uwekezaji kwa makampuni na watu binafsi kuwekeza katiaka
sekta nyingine zikiwemo utalii, kilimo,
misitu na viwanda.
Kwa upande wa mikoa ya
kusini mwa nchi, mpago wa ujenzi wa barabara na uimarishaji wa miundo mbinu
mingine si tu utajenga mazingira mazuri ya uchumi kwa mikoa husika itakavyokuwa
katika sehemu nyingine ya nchi bali pia utaleta maendeleo amabayo yanaondoa
dhana ya siku nyingi ambayo imejengengeka
miongoni mwa watanzania kwamba kusini siyo sehemu ya kuishi. Kwa mantiki hiyo
basiTanzania na Kusini ya awamu ya nne ya utawala wa CCM …wa
Wahenga walisema siku njema huonekana mapema na Chanda chema huvishwa
Hayo tu ni baadhi ya manufaa ambayo watanzania tunapaswa kuyaona ndani
ya busara na ukweli wa kuchagua CCM kama chama chao kwa maendeleo ukiondoa faida ya ajira kwa watanzania
kutokanan na kuimarishwa kwa biashara, uwekezaji katika sekta mbalimbali na
kuwepo shughuli za utalii kwa sehemu yenye vifutio hivyo.
Tunawashauri watanzania watafakari
Watanzania tukumbuke kwamba suala la miundo mbinu si dogo kwa maendeleo
ya nchi kwani histosia inatuonyesha kuwa ujenzi wa miundo mbinu umechangia
Nguvu ya Hoja,