MATOKEO YA KITAIFA YA CHAGUZI ZA SERIKALI ZA MITAA,

VITONGOJI NA VIJIJI WA MWAKA 2004

 

Matokeo ya Chaguzi za Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji zilizofanyika nchi nzima Tanzania Bara mwezi Novemba, 2004 yametolewa na TAMISEMI kama yalivyokusanywa hadi ilipofikia tarehe 31 Desemba, 2004. Hadi kufikia tarehe hiyo kiasi cha asilimia 99.5 ya matokeo yalikwishakusanywa kutoka maeneo  zilikofanyika chaguzi hizo.

 

Kwa mujibu wa matokeo hayo, CCM imejipatia ushindi   wa kishindo  asilimia 96.8 kwa uchambuzi ufuatao:-

 

Na.

UCHAGUZI

VITI VYOTE

ILIVYOSHINDA CCM

ASILIMIA

1.

Wenyeviti wwa Vitongoji

50,621

46,821

92.6%

2.

Wenyeviti wa Vijiji

9,457

8,863

93.7%

3.

Wajumbe wa Kamati za Vijiji

470,618

461,497

98.1%

4.

Wenyeviti wa Mitaa

2,600

2,297

88.3%

5.

Wajumbe wa Kamati za Mitaa (Viti Mchanganyiko)

8,404

7,468

88.9%

6.

Wajumbe wa Kamati za Mitaa (Viti Maalum)

3,940

3,562

90.4%

JUMLA/WASTANI

548,299

530,548

96.8%

 

Chama kilichoifuata CCM kwa mbali sana kikiwa kimechukua nafasi ya pili ni CUF ambacho kimepata asilimia 1.5 tu ya viti vyote vilivyogombewa kwa uchambuzi ufuatao:-

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Na.

UCHAGUZI

VITI VYOTE

ILIVYOSHINDA CUF

ASILIMIA

1.

Wenyeviti wa Vitongoji

50,621

1,858

3.7%

2.

Wenyeviti wa Vijiji

9,457

275

2.9%

3.

Wajumbe wa Vijiji

470,618

4,926

1.1%

4.

Wenyeviti wa Mitaa

2,600

157

6,0%

5.

Wajumbe wa Mitaa (Viti Mchanganyiko)

8,404

619

7.4%

6.

Wajumbe waa Mitaa (Viti Maalum)

3,940

256

6.5%

Jumla

548,299

8,091

1.5%

 

 

 

 Vyama vyote vingine 14 vilivyoshiriki chaguzi hizo vimegawana asilimia 1.7 iliyobaki.

 

Matokeo yote ya jumla kwa vyama vyote ni kama ifuatavyo:-

 

MATOKEO YOTE KWA JUMLA

 

NAFASI

CHAMA

IDADI YA VITI

ASILIMIA

1.

CCM

530,548

96.7625%

2.

CUF

8,091

1.4757%

3.

CHADEMA

2,054

0.3746%

4.

NCCR-MAGEUZI

1,676

0.3957%

5.

TLP

1,675

0.3055%

6.

UDP

1,256

0.2291%

7.

CHAUSTA

218

0.0398%

8.

DP

20

0.0036%

9.

UMD

19

0.0035%

10.

MAKINI

12

0.0022%

11.

TADEA

6

0.0011%

12.

PPT

5

0.0009%

13.

UPDP

1

0.0002%

14.

FORD

0

0.0000%

14.

NLD

0

0.0000%

14.

NRA

0

0.0000%

JUMLA/WASTANI

548,299

100%

 

 

 

Omar R. Mapuri

KATIBU WA NEC

ITIKADI NA UENEZI - CCM