VIONGOZI WA KITAIFA WA UMOJA WA WANAWAKE TANZANIA (UWT) WACHAGULIWA

 

 

Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM katika kikao chake cha tarehe 22-29/1/2004 iliipongeza Jumuiya ya CCM ya Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) kwa kukamilisha chaguzi za viongozi wake katika ngazi mbali mbali kuanzia ngazi ya chini hadi Taifa.

 

 

Pia iliwapongeza viongozi wote waliochaguliwa kuiongoza UWT katika maeneo yao kwa kipindi cha miaka mitano ijayo (2003-2008).

 

Kitaifa waliochaguliwa ni kama ifuatavyo:-

 

1.                Mama Anna Abdallah              – Mwenyekiti wa UWT Taifa

2.                Mheshimiwa Amina Salum Ali     – Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa

 

 Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji wa Baraza Kuu la UWT kuanzia 2003-2008 ni hawa wafuatao:-

 

 

1.     Mhe. Khadija Saleh Ngozi (Mb)     -       Mjumbe

2.     Mhe. Amina Salum Ali (MBLW)      -       Makamu Mwenyekiti

3.     Mhe. Anna M. Abdallah (Mb)                -       Mwenyekiti

4.     Ndugu Halima M. Mamuya (MNEC)       -       Katibu Mkuu

5.     Mhe. Asha-Rose Migiro (Mb)        -       Mjumbe wa kualikwa

kutokana na dhamana yake ya kuwa Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto katika Serikali ya Muungano

6.     Dr. Victoria Kanama                    -       Mjumbe

7.     Mhe. Maria Ibeshi Hewa              -       Mjumbe

8.     Ndg. Asha Simba Makwega (MNEC)-     Mjumbe

9.     Mhe. Asha Bakari Makame (MBLW) -     Mjumbe

10.    Ndg. Salama Mzee Majaliwa         -       Mjumbe

11.    Mhe. Shamsa Mwangunga (Mb)   -       Mjumbe

12     Mhe. Samia Suluhu (MBLW)         -       Mjumbe wa kualikwa

kutokana na dhamana yake ya kuwa Waziri wa Ajira, Vijana, Wanawake na Watoto katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar

13..   Mhe. Salome Joseph Mbatia (Mb) -       Mjumbe

14.    Mhe. Zakia Meghji (Mb)               -       Mjumbe

15.    Mhe. Dr. Maua Abeid Daftari (Mb)        -       Mjumbe

16.    Ndg. Domina Ngwada                 -       Naibu Katibu Mkuu

                                                                Tanzania Bara

17     Ndg. Salama Aboud Talibu           -       Naibu Katibu Mkuu

                                                                T/Zanzibar